Kurasa

Jumapili, 11 Oktoba 2015

NIKIWA KATIKA HUDUMA MKOA WA RUKWA MJINI SUMBAWANGA




                                                   Gathemane kwaya wakifanya huduma     
                                                        Assacs kwaya wakitoa huduma


Ilikuwa ni siku nzuri sana Jumapili October,11-2015 katika kanisa la KKKT Manispaa ya Sumbawanga kushiriki katika huduma kwa njia ya uimbaji. Namshukuru Mungu kwa wema wake pia Mwinjilisti Aniset Msangawale na waumini wote kwa mapokezi mazuri waliyonipatia. Nimetambulisha Album yangu ya nyimba za Injili ''NILIPIGWA PICHA" na kuimba wimbo wa ALARM. Aidha kwaya mbalimbali ziliweza kutoa huduma zikiwemo zile za kanisa hilo na zingine mbili zilizokuwa zimealikwa kushiriki huduma ya uimbaji kwa siku hiyo.

Maoni 3 :

  1. Hongera sana, hata katika Biblia walikuwapo wainjili na askari. Wewe ni askari na mwinjili sifa na utukufu apewe Bwana kwa wewe kuwa chombo cha kuleya habari njema za Kristo kwa watu wote

    JibuFuta
  2. Hongera sana, hata katika Biblia walikuwapo wainjili na askari. Wewe ni askari na mwinjili sifa na utukufu apewe Bwana kwa wewe kuwa chombo cha kuleya habari njema za Kristo kwa watu wote

    JibuFuta
  3. nakushukuru Dr Nshishi kwa kunitia moyo katika kazi ya bwana

    JibuFuta